Za mda huu! Wadau natafuta nakala za vitabu(hard copy) vya E.Chahali kwa hapa Dar es salaam. Either ni mmiliki wa bookstore - - waweza nielekeza wapi bookstore yako ilipo nikaja kuvinunua, au kama unafahamu wapi vinapatikana waweza nirefer.