Natafuta vitabu vya James Hadley chase

Natafuta vitabu vya James Hadley chase

Mwehu Mweusi

Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
5
Reaction score
0
Najua kwamba fiction crime za James Hadley Chase zimesomwa na watu wengi sana na kwa mimi ni vitabu pekee ambavyo viliweza kuweka picha ya action kama a movie kwa kupitia maneno tu, nimesoma vitabu vyake vitatu na sasa nimegundua kwamba kabla hajafa ameandika vitabu zaidi ya 80(sina uhakika kuhusu idadi), lakini japokuwa naishi dar es salaam, kuvipata ndyo imekuwa kazi japokuwa sio vitabu hadimu kwa watu wengi, kama kuna mtu anaweza kuniambia sehemu za Dar ninapoweza kuvipata na bei za vitabu kwa sababu mimi sio mtu anaetembelea book shops sana

Ahsante sana kwa mtu atakeyenisaidia, vitabu hivi vilinisaidia sana kwenye mazingira ya shule ambapo vitu kama simu na TV havipatikani kiurahisi na maisha yangu ya shule siwezi sema kwamba yalikuwa mazuri sana
 
Si udownload mkuu,au unataka vitabu hardcopy?
 
Si udownload mkuu,au unataka vitabu hardcopy?
 
Si udownload mkuu,au unataka vitabu hardcopy?

Unajua nimewahi fanya downloading lakini kiukweli mimi ni wale watu ambao tunaona raha tunapogeuza karatasi zaidi ya kuscroll kwa mouse, halaf ntakuwa natumia maeneo ya mbali na electronics kwa hiyo hard copy ni nzuri zaidi
 
Cheki na huyu jamaa alikuwa anaviuza 0713132500. Nimevisoma sana hivyo vitabu...Willy Gamba naye alikuwa anadesa huko.
 
Nenda pale Dar es Salaam bookshop. Nimepita juzi nimeviona vingi sana vimepangwa karibu na dirisha la cashier wao pale.
 
Tuna

tunadownload wapi mkuu?
ukiienda genesis library unavipata,ila kuipata link ndo inakuaga ngumu maana ni web ya warusi,kuna mtu humu alishatoa link,ukisearch humu jf kuna uzi unaongelea vitabu vya chase
 
Najua kwamba fiction crime za James Hadley Chase zimesomwa na watu wengi sana na kwa mimi ni vitabu pekee ambavyo viliweza kuweka picha ya action kama a movie kwa kupitia maneno tu, nimesoma vitabu vyake vitatu na sasa nimegundua kwamba kabla hajafa ameandika vitabu zaidi ya 80(sina uhakika kuhusu idadi), lakini japokuwa naishi dar es salaam, kuvipata ndyo imekuwa kazi japokuwa sio vitabu hadimu kwa watu wengi, kama kuna mtu anaweza kuniambia sehemu za Dar ninapoweza kuvipata na bei za vitabu kwa sababu mimi sio mtu anaetembelea book shops sana

Ahsante sana kwa mtu atakeyenisaidia, vitabu hivi vilinisaidia sana kwenye mazingira ya shule ambapo vitu kama simu na TV havipatikani kiurahisi na maisha yangu ya shule siwezi sema kwamba yalikuwa mazuri sana
Lete email nikutumie vitabu
 
Walivudurufu wakawa wanauza Ubungo terminal ukitoka nje tu najua sasa hao jamaa wamefukuzwa fukuzwa ila ninaweza kukupatia hardcopy zifuatazo kwa shs 6000 kila moja.
1. There is hippies on the hay way
2. The executioners (poke tohoro)
3. This is the really
5. One bright summer morning
6. Coffin from hongkong
7.Vulture is a patient bird
na
8. Believed violent

e. mail yangu ni:- laurentmsembeyu@yahoo.com
 
Mi ninacho kimoja, nimekisoma chapter ya kwanza tu, Master mind book
 
j
 
Attachments

m
 
Attachments

,
 
Attachments

Asante sana Chief

Ila toka Jana Internet yenu inazingua sana
 
Back
Top Bottom