Natafuta vijana waliosoma University Computing Center (UCC)

bukoba04

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
1,402
1,291
Habari wana JF

Naomba kukutana na kijana yeyete aliyesoma UCC, kituo chochote..

Tunaweza kugawana fursa kulingana na ushirikiano wake kwangu...

Kwa yeyeto ambaye yumo humu au unamfahamu ndugu jamaa na rafiki ambaye ashawahi kupitia UCC, tawi lolote, hasa kwa wale waliopita Mlimani ani PM namba yake tuwasiliane au waweza kuweka hata hapa chini..

Actaully kuna project tunataka ku initiate hapa college ya CoICT chuo kikuu cha dar, ningependa nifanye kazi na watu waliopitia ucc, ila pia nakupata baadhi ya resources kutoka kwao

Nashukuru sana
 
Mim yupo ambaye amesoma hapo lakin nisingependa kutoa mawaslianao ya mtu bila ya kutambua unamadhumn yapi...ni ajira au kuna vitu unatka kuvijua kuhusa hapo ucc kupitia kwake?
 
Vijana wapo pia wazee wapo,hasa waliopiga CCNA wa Mwanzo,Enzi za akina Instructor Mtui na Dr.Jabir,,,,,WAPO sema unawatakia nini tu basi ili kutoa hofu.
 
Kusomea level ipi mkuu,wengine tulivyoua six tu tulipitia hapo,ila vicourse vidogo vidogo vya computer Apps
 
Actaully kuna project tunataka ku initiate hapa college ya CoICT chuo kikuu cha dar, ningependa nifanye kazi na watu waliopitia ucc, ila pia nakupata baadhi ya resources kutoka kwao
 
Back
Top Bottom