alipokuelekeza black hawk ni sawa kabisa,wakat unatokea round about unaelekea karume pitia ng'ambo ya barabara upande wa kulia,upande wako wa kulia utakuta vifaa vya gym jamaa anauza adjacent nae kuna dada anauza simple za wanawake,ukipakosa ni pm nikuelekeze vizuri