Natafuta vifaa vya jiko la chipsi na chakula bar

Natafuta vifaa vya jiko la chipsi na chakula bar

Dashy 99

Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
23
Reaction score
9
Jamani wanajamii kwa yeyote anaye uza vifaa vya jiko la baa namaanisha
.majiko
.makarai
.kabati za chipsi
.na zaga zaga nyingine zinazo husika na jiko la bar

awepo dar es salaam.tuwasiliane 0714509 709
 
Back
Top Bottom