Habarini,
Nipo dodoma nahitaji video tutorial za wordpress nadhani ni rahisi ku customize kuliko kuanza from scratch mwenye video naomba tuwasiliane nijue namna ya kuzipata.
NB: nipo dodoma mpaka kesho then nitakuwa iringa aliyepo kwenye maeneo hayo mawili naomba tuwasiliane kama nitahitajika kufika physically kuzichukua.