Natafuta video camera

Natafuta video camera

Kazi kweli kweli na hayo matangazo hasi yenu! haya endelea kutafuta ngoja wenyewe waje wakuelemishe jinsi ya kuweka matangazo
 
Mimi natafuta camera used au mpya ya aina ya canon eos 5d mark iii.. au eos d60 au 7d..kwa nikon hata d5200 poa..
 
Mimi natafuta camera used au mpya ya aina ya canon eos 5d mark iii.. au eos d60 au 7d..kwa nikon hata d5200 poa..
Naweza kupata used zote hizo,ila kama una ubavu kweli wa mpya pia ni pm,
 
Naweza kupata used zote hizo,ila kama una ubavu kweli wa mpya pia ni pm,
Nina canon mark iii mpya bei 5.2 milion unataka nicheki 0784606322 ingawa ukicheki post za nyuma niliweka hii kitu
 
IMG_5656.JPG IMG_5659.JPG IMG_5654.JPG haya ushindwe mwenyewe mzigo huu hapa mmpyaaa kabisa bei 5.2 MARK III, pia nina canon EOS 1100D hii nitakuuzia bei cheee!!
 
naomba kuuliza ni camera gani ya canon yenye uwezo mzuri ya kama mia 800
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom