Ila siku hizi zimeshuka kama upo Ulaya au States unapata hat kwa Usd 700,kuna tetesi inakuja Canon 7D Mark II,nasikia pia ilitumika huko Brazil kwenye world cup kwa ajili ya majaribio ingawa ilikuwa imefunikwa na kitambaa isijulikeni lakini wajuzi wa mambo wanadhani ndio yenyewe,kusema ukweli hii ni camera nzuri sana kwa zile zisizo za full frame