Natafuta viatu vya mtunba

NGOSWE2

JF-Expert Member
Dec 19, 2013
1,192
1,405
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kijielezavyo nahitaji viatu vya mtunba kwa jula kwa yeyote anayefahamu maduka yalipo kwa hapa dar.
 
Viatu vya mtumba kwa jula huwezi kupata mkuu.

How busy do you have to be mpaka mtu unashindwa kuhakiki tangazo lako tena la sentensi moja? Kweli uko siriazi?
 
Sio kwamba natangaza biashara mkuu, pamoja na kwamba nimeandika kwa ufupi nahitaji msaada kwa anayefahamu maduka hayo hapa dar wanakouza kwa mabalo
 
mkuu usiwe na wasiwasi viatu vya mtumba jumla unapata sema unataka vya kike au vya kiume na quality ipi?

then for more info ni PM

Back
Top Bottom