Natafuta used Galaxy NOTE 3 kwa Laki 2.

Natafuta used Galaxy NOTE 3 kwa Laki 2.

Majaribu2013

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
950
Reaction score
1,050
Aliye na sumsung galaxy note 3 used kuna laki 2 hapa iko nje nje tu awahi.
 
Hii dunia pana sana. Hauwezi kuipima kwa macho yako au akili zako. wakati wewe unashangaa wengine wanapata na kunufaika! Nimepata wawili PM nataka nipate wengi ili nichague kifaa kizuri zaidi.
 
Ngoja wife wangu atumuetumie kwanza akiichoka ntakuambiaeee coz hautaipata kwayeyote kwa hinyo vijicenti vyako.
 
Back
Top Bottom