Habar wadau
Nimezurula kariakoo mpaka nimechoka natafita usb switch sio usb hub usb switch
ipo hv nina pc 3 na nina zitumia mara kwa mara kwa kaz mbalimbali sasq nikawa natafuta mfumo utakao niwezesha kushare vifaa vya usb nfano mouse keyboard pri ter etc via 2 pv ili nijiepushw na chomoa chomoa wadau kwa anaejua wapi naweza pata usb switvh please ninotify