Sema ulipo mtu yuko kigoma aje mtwara au lindi toa heading iliyo wazi
Ucjali mkuu,hii ni fursa inayo wahusu vijana waliopo Daressalaam kwa kipindi hiki!
Habari,husika na kichwa cha habari hapo juu,natafuta vijana wenye nia ya zati ya kutafuta pesa na kutoka kimaisha na wenye kipaji cha kuigiza filamu,karibu katika kikundi chetu uweze kuonyesha kipaji chako,elimu kuanzia form four kuendelea mbele!