Natafuta TV

Alkam Alkam

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
603
Reaction score
512
Natafuta TV [emoji342] nchi kuanzia 46 kampuni hisence Lg Samsung ikiwa smart itapendeza zaidi offer ipo laki 5 0759117175 number Hiyo.
 
Natafuta TV [emoji342] nchi kuanzia 46 kampuni hisence Lg Samsung ikiwa smart itapendeza zaidi offer ipo laki 5 0759117175 number Hiyo.
mkuu najua lengo lako ni kupata tv yenye ubora ndomaana umetaja hizo aina lkn nijuavyo mimi hizo kampuni ulizotaja sidhani kama wana tv za nchi 46,naona sana ikitoka nchi 43 inafata nchi 49 ,50 then 55 na kuendelea pia nakushauri usinunue tv pasipo kuangalia model number ambayo huandikwa nyuma ya tv.
 
Hapo kwenye model number, kwa mtu asiyejua... azingatie taarifa zipi muhimu pale?
 
Shukrani
 
Natafuta TV [emoji342] nchi kuanzia 46 kampuni hisence Lg Samsung ikiwa smart itapendeza zaidi offer ipo laki 5 0759117175 number Hiyo.

Check uzi wangu hapo Nina LG size 43 mpya nauza,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…