Inch 49 iuzwe kwa sh 350,000/ au ulimaanisha inch 32?Nipo dar es salaam mabibo sharti iwe ya kwako mwenyewe.
Offer ya mezani ni 300k adi 350k inategemea na ubora wa TV na kampuni
Inch 49 iuzwe kwa sh 350,000/ au ulimaanisha inch 32?
Mkuu kwa hizi bei ulizoweka kama utafanikiwa kupata TV basi jiandae kuwalaumu services provider, utasikia Azam picha zao mbaya, mara utasema picha zao sio HD kumbe tatizo lipo kwakoNipo dar es salaam mabibo sharti iwe ya kwako mwenyewe.
Offer ya mezani ni 300k adi 350k inategemea na ubora wa TV na kampuni
Grundig unachukua kwa sh ngapi?Nipo dar es salaam mabibo sharti iwe ya kwako mwenyewe.
Offer ya mezani ni 300k adi 350k inategemea na ubora wa TV na kampuni
Ubora haupimwi kwa picha ya mtandaoni, unaijua Grundig lakini?Tuma picha tuone ubora wake kwanza
Nikikutumia picha ndio utaijua?Mzee iyo TV sihifahamu ndo mana nakwambia nitumie picha tuone
German made TvWewe nitumie pcha niione mana iyo tv sijawai itumie ila najua founder wake nn nani
So notumie tu nione iyo yako ubora wake n upi!?
Google Grundig Fire TV upate specification zakeWewe nitumie pcha niione mana iyo tv sijawai itumie ila najua founder wake nn nani
So notumie tu nione iyo yako ubora wake n upi!?
Nipe 1.2 mil nikuachie zigoSawa boss sasa tunafanyaje apo!?
Buji 😂😂😂😂