Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
Vipimo vinaonyesha ukubwa wa sebule yako na TV saizi gani ndiyo inakufaaBuji 😂😂😂😂
Kwamba akikaa mita 3 na TV itaongezeka ukubwa
Vipimo vinaonyesha ukubwa wa sebule yako na TV saizi gani ndiyo inakufaaBuji 😂😂😂😂
Kwamba akikaa mita 3 na TV itaongezeka ukubwa
Got youVipimo vinaonyesha ukubwa wa sebule yako na TV saizi gani ndiyo inakufaa
Aisee kumbe picha mbaya ni tv, mbona unakuta BBC na Aljazeera picha zinakuwa clear ila njoo EATV, WASAFI sijui TBC picha ni mbaya ajabuMkuu kwa hizi bei ulizoweka kama utafanikiwa kupata TV basi jiandae kuwalaumu services provider, utasikia Azam picha zao mbaya, mara utasema picha zao sio HD kumbe tatizo lipo kwako
tv au bangiNipo Dar es Salaam Mabibo sharti iwe ya kwako mwenyewe.
Offer ya mezani ni 300k adi 350k inategemea na ubora wa TV na kampuni.
Hisense 32" SMART TV inakwendaje mkuu?Huwezi pata kwa hiyo bei rafiki yangu.
Hiyo bei nakupa SMART TV inch 32, ya ALITOP, AILYON. @350,000
Nipo Dar es Salaam Mabibo sharti iwe ya kwako mwenyewe.
Offer ya mezani ni 300k adi 350k inategemea na ubora wa TV na kampuni.
Nch 39 kwa 350000???Nipo Dar es Salaam Mabibo sharti iwe ya kwako mwenyewe.
Offer ya mezani ni 300k adi 350k inategemea na ubora wa TV na kampuni.