Natafuta tv inch 40 ya kununua. Nipo Dar

zuujacob

Member
Dec 10, 2020
14
10
Nipo Dar, nahitaji flat screen inch 40, isiwe na tatizo lolote bajeti yangu ni 350,000/- ukiwa serious nichek
 
Weka picha na risiti zake, maana kesi za kuuziwa vitu vya wizi ni nyingi sana siku hizi
 
Nilinunua TV zanzibar LG32 " kwa 250k miaka kadhaa nyuma...nikajiona nime-win, kumbe tv inamatatizo yake, baada ya muda ilikuwa inajizima, nikaitengeneza alafu nikatafuta mpenda kitonga nikamuuzia...kuanzia hapo sinunui vitu vya electronics used
 
Kumbe?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…