Kilangi masanja JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,622 Reaction score 5,251 Mar 29, 2016 #1 Habari zenu wadau Ni matumaini yangu kua mu wazima Na mnaendelea Na majukumu ya Kila siku . Nina uhitaji wa tv orijono Kati ya aina hiz lg ,Samsung, au Sony Ila iwe Ni mpya kabisa je itakua Ni sh ngapi naomba mnisaidie nitapata kwa bei gani
Habari zenu wadau Ni matumaini yangu kua mu wazima Na mnaendelea Na majukumu ya Kila siku . Nina uhitaji wa tv orijono Kati ya aina hiz lg ,Samsung, au Sony Ila iwe Ni mpya kabisa je itakua Ni sh ngapi naomba mnisaidie nitapata kwa bei gani
Eliamini JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 618 Reaction score 744 Mar 29, 2016 #2 nenda madukani
Abdulwahid JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 2,766 Reaction score 1,578 Mar 29, 2016 #3 350000