Natafuta Tuition Centre kwa masomo ya O'level

cosM

Senior Member
Sep 6, 2013
194
124
Habari wakuu! Natumaini mpo salama. Nina mdogo wangu yupo form three, nataka ajinoe vizuri katika masomo yake kama maandalizi mazuri ya kuingia form four.

Hivyo natafuta Tuition Centre nzuri yenye walimu waliobobea. Makazi ya mdogo wangu ni kimara.
Natanguliza shukrani.

CosM
 
kwa kimara nenda mapambano mwenge-itv nyuma ya nakiete hapo ndo habari ya mjini jamaa wako vizur
 
Back
Top Bottom