Nauza trei za karatasi zilizotumika lakini zina ubora ulele WA upya.kwa Kila trei ntakuuzia 200. Kusafirisha unapanga trei kwenye mabox makubwa na kuzibana vizuri .unaweza kusafirisha kwa njia ya bus etc kwenda mkoa wowote zinafika salama .nicheckHabari bandugu...Wapi nawezapata Trey za bei nafuu....lakini pia wenye uzoefu wa kusafirisha mayai..Mnafungaje mzigo kwa kuanzia Trey Mia za mayai...?.