Natafuta training za riadha

Natafuta training za riadha

salfre

New Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Naombeni kujua mahali ambapo training za riadha hutolewa hapa DSM.
 
Hamna,we uoni kila mtu anakitambi hapa Dar?we amka kila siku alfajiri kimbia mpaka bagamo na kurudi(65kmsx2=130kms)fanya hivi kwa miezi2,kisha nenda london marathon kachukue medali.
 
Hamna,we uoni kila mtu anakitambi hapa Dar?we amka kila siku alfajiri kimbia mpaka bagamo na kurudi(65kmsx2=130kms)fanya hivi kwa miezi2,kisha nenda london marathon kachukue medali.

Alternatively, njoo huko kenya nikupeleke Eldoreti kwa wazee wa rift valley watakupa mafunzo ya mbio na utakuwa imeivaa kiasi cha kutosha
 
Back
Top Bottom