Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 1,260
- 2,745
mkuu unahitaji swaraj,massey,new holand,fiat au fordNatafuta tractor iliyotumika ambayo inatembea na ipo katika hali nzuri,.... Nahitaji tractor tu bila accessories zake
Me nahitaji kati ya massey au fiat inayotembea na iko ktk hali nzuri. Nina mil 10mkuu unahitaji swaraj,massey,new holand,fiat au ford
Nina mil 10 mkuuWeka pesa uliyo nayo unaweza kushauriwa maana utapigwa.
Weka pesa watu wakushauri unaweza kujikuta umenunua vitu vingi vizuri na matrekta madogo ambayo mapya na zana nyingi.
Mil 10 ipo mkuuMteja unavipengele vingi
Budget yak shi ngap
Utauziwa kibuduMil 10 ipo mkuu
mkuu hapo nikushauri m 10 hapo bdo sana mana itakugharimu sana.services inaweza kula kama 5m+.cha kukushauri tafuta 18-20m utapata swaraji 744 ambayo imetumika mwaka 1-2 bdo nzuri sana...Me nahitaji kati ya massey au fiat inayotembea na iko ktk hali nzuri. Nina mil 10
mkuu hapo nikushauri m 10 hapo bdo sana mana itakugharimu sana.services inaweza kula kama 5m+.cha kukushauri tafuta 18-20m utapata swaraji 744 ambayo imetumika mwaka 1-2 bdo nzuri sana...Me nahitaji kati ya massey au fiat inayotembea na iko ktk hali nzuri. Nina mil 10
Shukran kwa ushauri mkuumkuu hapo nikushauri m 10 hapo bdo sana mana itakugharimu sana.services inaweza kula kama 5m+.cha kukushauri tafuta 18-20m utapata swaraji 744 ambayo imetumika mwaka 1-2 bdo nzuri sana...
Nidai picha kesho . InshaallahMil 10 ipo mkuu
Shukran kwa ushauri mkuu
Mkuu nikipokea mafao yangu nikuchek uniongoze kwa mengi kati ya machache nijuayo kuhusu tractormkuu hapo nikushauri m 10 hapo bdo sana mana itakugharimu sana.services inaweza kula kama 5m+.cha kukushauri tafuta 18-20m utapata swaraji 744 ambayo imetumika mwaka 1-2 bdo nzuri sana...
nashukuru mkuu haina noma kalibu mana hap home kuna swaraj 744 nyota 1 afu 744 nyota 4 hii stering yake ni ya upepo.chaguz kwako mkuuMkuu nikipokea mafao yangu nikuchek uniongoze kwa mengi kati ya machache nijuayo kuhusu tractor
Tuombe uzimanashukuru mkuu haina noma kalibu mana hap home kuna swaraj 744 nyota 1 afu 744 nyota 4 hii stering yake ni ya upepo.chaguz kwako mkuu
Mkuu samahani ,kama unaweza kufafanua kidogo hapo unaposema swaraj 744 nyota 1 na nyota 4 inamaanisha nini?nashukuru mkuu haina noma kalibu mana hap home kuna swaraj 744 nyota 1 afu 744 nyota 4 hii stering yake ni ya upepo.chaguz kwako mkuu