kufunga kwenye bodaboda? hata usifikirie, n ghali sana. kama unaweza jaribu , utrack wapo mbele ya moroco pale, mbuyuni , mkono wa kulia kama unatokea morocco kwenyewe
car track ni us $ 350 per year
ila niliona kenya wanasoft ware moja unaweka kwenye simu inakuonyesha bodaboda ambayo ipo karibu na wewe then unampigia anakuja kukuchukua
nafikiri ongea na wataalamu wetu IT kama wanaweza fanya hiyo kitu,maana niliona ni rahisi na salama
Asante wakubwa ila nasikia kuna gps locator inayotumia android technology na ni ndogo 10mm x 30mm, inatumia google ya kawaida, eti inakuwa programmed na simu ya android kwa mtandao wa tigo, airtel au voda afu unatumia google map kuonyesha movements. Naomba anayejua anipe maelezo members.