spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,158
Habari members, ninauliza wapi naweza kupata tracking devices zinazoonyesha ramani ili nifunge kwny boda boda yangu, naona boda wangu anakwenda maeneo yasiyoruhusiwa! Msaada members!
Utrack Africa Ltd.
Google hiyo kampuni kati ya mengine mengi watakusaidia.
Kufunga hiyo ni gharama ya boda boda kama mia hivi
Sijakuelewa mkubwa
pia angalia related thread hapo chini