Natafuta Toyota Coaster/ Mitsubishi Rosa

Natafuta Toyota Coaster/ Mitsubishi Rosa

Attainer Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Posts
433
Reaction score
824
Mwenye hii gari Toyota Coaster nipigie tufanye kazi.

  • Gari iwe na 29 seats.
  • Gari iwe na AC
  • Gari iwe registered for commercial use
  • Isiwe na mkanda wa route

Hesabu kwa siku ni 80,000

Nipigie kwa namba 0625466634 tufanye kazi.
IMG-20220417-WA0007.jpg
BK779950_1ad63d.jpg
BK779950_ce6c01.jpg
 
Nafahamu kuwa hesabu ni laki. Nimeweka 80,000 kwakuwa halitakuwa linazunguka kama daladala zinavyozunguka

Dhumuni ni kubeba abiria.
 
Nicheck PM au nipigie kwa namba 0625466634/0746404450/0719110405
 
Bado sijapata gari, karibuni tuje tufanye kazi wenye vyombo hivyo
 
huenda lengo lako ni zuri,ila kumkabidhi gari ya thamani mtu usiyemjua kabisa,hata background yake inahitaji moyo wa ujasiri sana mkuu.
Ni kweli unalosema ila mtu hawezi akakimbia na Coaster. Weka imani maana sote tuko kwenye utafutaji. Nidhamu na uaminifu ndiyo kitu kikubwa mkuu.
 
Biashara imekuwa ni ngumu kwakuwa gari zipo nyingi mtaani, hapo ni jukumu la dereva ili ahakikishe anafikia malengo. Namba zangu nimeweka hapo tuwasiliane tufanye kazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom