Natafuta Toyota Carina au corola salon used isiyozidi 5m TZS

Magezi

JF-Expert Member
Oct 26, 2008
3,359
692
Wakuu naona soli inazidi kuisha natafuta gari aina ya Toyota Corola/Carina salon used ambayo haitazidi milioni 5 au 5.5. Kama unayo ni pm
 
Wakuu naona soli inazidi kuisha natafuta gari aina ya Toyota Corola/Carina salon used ambayo haitazidi milioni 5 au 5.5. Kama unayo ni pm
Nmeku pm kuna carina ti mbili nnazo siyo za kuacha kama ni mtakaji
 
Back
Top Bottom