Wadau ninatafuta toyota altezza/lexus ambayo iko imported but haina namba (probably from show roo,). Iwe na sifa zifuatato:-
naomba mtu yoyote mwenye nayo tuwasiliane inbox ili nimpe email yangu anitumie picha na tunegotiate bei.
Shukrani kwenu.
- iwe na rangi nzuri either nyeusi au blue.
- iwe na real spoiler na body kit.
- iwe na reasonable milage.
- iwe na hali nzuri sana ndani na nje.
- kama imesajiliwa basi isiwe zaidi ya mwezi.
naomba mtu yoyote mwenye nayo tuwasiliane inbox ili nimpe email yangu anitumie picha na tunegotiate bei.
Shukrani kwenu.