Ok naomba unisamehe
Usimkatishe tamaa kijana wetu mbona GIGGS bado anaupiga!Miaka 22, umri huo kwenye soka ni kama umebakiza miaka isiyozidi nane tu. Anyway, endelea kufanya mazoezi binafsi hata usikuwa mchezaji utaweza kuwa kocha.
Means nije mtwara
Usimkatishe tamaa kijana wetu mbona GIGGS bado anaupiga!
Uko sawa kabisa,jamaa wengine wana mentaliti za kuiga za kizungu eti ukifika miaka 30 mchezaji kwisha au ukifika mid 20 kama hujatoka kisoka wewe basi tena. Hii tabia wanayo sana waingereza na wanaisambaza sana kupitia katika media zao.
Usimkatishe tamaa kijana wetu mbona GIGGS bado anaupiga!
Kibongo bongo inawezekana cha kufanya tumpigie debe dogo wetu, tatizo letu wabongo watu wa kukatishana tamaa.Hakuanza kutafuta timu kwenye mitandao tena akiwa na miaka 22,kacheza game ya kwanza manure akiwa na miaka 17
kabla hata ya miaka ishirini alikuwa ashachukua taji la ligi akicheza mechi kibao tu katika ligi,huyu dogo acheze tu kama
mimi kwa starehe siyo kama anavyotaka eti soccer limtoe haiwzekani tena!..
Hamna kitu hapo hata bongo huyu dogo kwa umri huu kwa soka la bongo ameshakuwa veterani kama pamoja na kucheza
ndondo kaja kujitangaza jf badala ajitangazie uwanjani!..
Wewe unafikiri miaka yote hii wanayovuma hao jamaa wa Magharibi unataka niambia sisi hatuna wenye viwango au vipaji?Kwa uzoefu wangu mdogo tu wa mambo ya soka,naamini dogo bado ana nafasi iwapo tu atapata muongozo mzuri na kufanya mambo fulani muhimu ambayo siwezi kuyaweka humu. Nimewaona wengi kama dogo wanafanikiwa na wengine mnawaangalia kila siku katika EPL na ligi zingine za Ulaya na Afrika leo anataka kuleta kukatishana tamaa wakati milango iko wazi.
Sipendi kuendelea kuuliziwa na kuongelea Ghana, Nigeria au Ivory Coast wakati mimi ni MTANZANIA. Kwa nini nchi yetu tusiiweke katika ramani ya soka.
Wao wanaweza kwa nini sisi tushindwe...!
Huwa wanafanyaga muda gani