Funguka ndani ya nchi au nje ya nchi
Kwa sasa can timu permanent nipo tu napiga ndondo za kitaa
Miaka 22, umri huo kwenye soka ni kama umebakiza miaka isiyozidi nane tu. Anyway, endelea kufanya mazoezi binafsi hata usikuwa mchezaji utaweza kuwa kocha.Mm ni kjana wa umri wa miaka 22 nina tafuta timuvya kuchezea yenye malengo pia yenye wachezaji wazur mm nina uwezo wa kucheza winga au midi filda plz naombeni mnisaidie wana jamvi
Mm ni kjana wa umri wa miaka 22 nina tafuta timuvya kuchezea yenye malengo pia yenye wachezaji wazur mm nina uwezo wa kucheza winga au midi filda plz naombeni mnisaidie wana jamvi
Ntafurahi saana ndugu
Powa brooo ntashukuru mm nw npo dar ndugu yangu but huyo jamaa ni wa timu gani?