GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,646
- 10,863
Pole kwa changamoto, hao ni mealbugs ambao ni weupe kama ukungu na huwa hawaruki,sasa wao wana kazi ya kunyonya majimaji Sukari katika mfumo wa usafirishaji wa mmea, matokeo yake ndio kujikunja kwa majani na kudumaa kwa mmea.Kwa wataalamu na wazoefu mliomo humu, naombeni ushauri wenu. Katika miche zaidi ya ishirini, miwili imeonesha kutokuwa sawa:
1. Kasi ya ukuaji imepungua, kama inataka kudumaa
2. Majani yamejisokota kidogo
3. Ina kama ukungu mweupe hivi kwenye shina
Mwanzoni nilifikiri imezidishiwa mbolea (samadi ya ng'ombe), lakini nimejiridhisha kuwa sivyo, kwa sababu mingine yote inaota vizuri sana isipokuwa hiyo miwili tu.
Inaweza ikawa na shida gani?
Hilo tatizo linaweza kutibika?
Asanteni kwa ushauri wenu
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Nashukuru madam. Nilienda duka la pembejeo wakanishauri nipulizie dawa inayoonekana hapa chini, nimezichanganya. Nimeshafanya hivyo, nausubiria nione kama kutakuwepo na mabadiliko.Pole Kwa changamoto boss,ingawa picha zako haziko clear lakini nitakujibu kulingana na maelezo yako.
Kuhusu kujikunja Kwa majani:aHii husababishwa na wadudu ambao hufyonza unyevunyevu,hii inasababisha mmea kudumaa na majani kujikunja,Tumia dawa ya wadudu kama Rapid Attack
Nashukuru mkuu. Dawa niliyoitumia ni sahihi?Pole kwa changamoto, hao ni mealbugs ambao ni weupe kama ukungu na huwa hawaruki,sasa wao wana kazi ya kunyonya majimaji Sukari katika mfumo wa usafirishaji wa mmea, matokeo yake ndio kujikunja kwa majani na kudumaa kwa mmea.
Kuna mambo kadhaa yanayoleta hawa jamaa na kuna namna kadhaa za kuwadhibiti na kuamsha mmea ukae sawa.
Kwa maelekezo na msaada wasiliana na idara ya visumbufu,shamba initiatives and Agritours, Morogoro mjini. 0714600575/0620598113