form four unataka ualimu wa physics na chemistry kwa uwezo mkubwa, acha masihala wewe!
ungeniambia sayansi au sayansi kimu kule primary halafu ukajiita una uwezo mkubwa, sawa.
hivi ujajiuliza kwa nini haukuti form four leavers kwenye sekondari yoyoye serious wakifundisha?
punguza papara dogo tafuta kazi itakayolingana na sifa na vigezo vyako, hata kama bure unless iwe unauthorized institution.
Afterall, what do you need for? Ikiwa physics na chemistry za A-level zina uhusiano mdogo sana zile za o-level.
ktk topics zote 4 za chemistry A-level utakutana na organic na inorganic kidogo toka chemistry ya o-level vingine vyote vipya na muda hautoshi so wajanja kipindi hiki wanaanza mdogomdogo tution ya hiyo mambo kma unataka ufanye mambo A-level.