Natafuta temporary job hata kwa kujitolea

jaman mbn mnamkatsha tamaa dogo,mi naona huu mda ukiwa unasubir matokeo ungesoma coz mbalimbl kujiweka sawa na A level.kaz zpo soma kwnza.
 
Sasa huo uwezo mkubwa umeujua vipi? piga kozi fupifupi kwa manufaa yako mbele uendeko kuna mengi usiyoyajua, japo unadai una uwezo mkubwa.
 
duuuuh form four....watu wana masters hata izo tempo hawana..............piga kitabu dogolasi
 
Zipo za kufagia barabara na kupanda miti unaweza kujitolea
ukibahatika utapata zawadi ya kuwa mwanamazingira bora
tena unaweza kupata bahati ya kupeana mkono na mkuu
wa kaya!
 
Dogo kama unasubiri matokeo wasaidie wazazi kazi za hapo nyumbani, huku ukisubiri kuendelea na masomo ila kama ndio unatafuta kazi ili upate pesa za kuhonga utaishia kubaya....soma dogo.
 
Dogo kama unasubiri matokeo wasaidie wazazi kazi za hapo nyumbani, huku ukisubiri kuendelea na masomo ila kama ndio unatafuta kazi ili upate pesa za kuhonga utaishia kubaya....soma dogo.

wewe wa wapi wewe mtu wngu!.mbona auko updated?siku hizi watu wakimaliza skul wakiwa wanasubiria matokeo wanatafuta tempo ili waepuke vishawishi vya mtaani.na hata hivyo amesema hata ya kujitolea yuko poa sasa wewe unasema anatafuta ili aonge unamaana gani?
 
Bro kama huamini nenda kwenye technology and gadgets in this site uone mambo yangu...inshort nina kipaji cha hizo sekta.
Miaka ijayo nikishamaliza degree nikaanza kutafuta kazi,itaonyesha nini kwenye cv yangu kama sio uzoefu huu.Acheni majungu wabongo tuendelee
 
sijasema nahitaji pesa..nahisi hujasoma vizuri post yangu nimesema kujitolea elewa
 
sikujua hata watu wazima huwa wanaongea pumba,sijui ananifundisha nini huyu wakuu
 
Zipo za kufagia barabara na kupanda miti unaweza kujitolea
ukibahatika utapata zawadi ya kuwa mwanamazingira bora
tena unaweza kupata bahati ya kupeana mkono na mkuu
wa kaya!
Sijui ananifundisha nini huyu wakuu..sikujua hata watu wazima wanaongea pumba
 
Dogo kama unasubiri matokeo wasaidie wazazi kazi za hapo nyumbani, huku ukisubiri kuendelea na masomo ila kama ndio unatafuta kazi ili upate pesa za kuhonga utaishia kubaya....soma dogo.
Bro kama huamini nenda kwenye technology and gadgets in this site uone mambo yangu...inshort nina kipaji cha hizo sekta.
Miaka ijayo nikishamaliza degree nikaanza kutafuta kazi,itaonyesha nini kwenye cv yangu kama sio uzoefu huu.Acheni majungu wabongo tuendelee
 
Sijui ananifundisha nini huyu wakuu..sikujua hata watu wazima wanaongea pumba
Dogo, Jitolee kupanda miti tatizo lenu wabongo mnataka viti vya
kuzunguka tu. Yuko Mzee mmoja anaishi Tabata, Shuka pale Jiandae
kituo kilichopo karibu na Kimanga mwisho, Mtaa wake unaitwa mtaa
wa mazingira, miti na usafi utakaouona hapo mtaani ni Juhudi zake
binafsi ni msomi na kaishi uingereza zaidi ya miaka kumi. Si unaomba ushauri
halafu ukishauriwa unalalamika!
 
form four unataka ualimu wa physics na chemistry kwa uwezo mkubwa, acha masihala wewe!
ungeniambia sayansi au sayansi kimu kule primary halafu ukajiita una uwezo mkubwa, sawa.
hivi ujajiuliza kwa nini haukuti form four leavers kwenye sekondari yoyoye serious wakifundisha?
punguza papara dogo tafuta kazi itakayolingana na sifa na vigezo vyako, hata kama bure unless iwe unauthorized institution.
Afterall, what do you need for? Ikiwa physics na chemistry za A-level zina uhusiano mdogo sana zile za o-level.
ktk topics zote 4 za chemistry A-level utakutana na organic na inorganic kidogo toka chemistry ya o-level vingine vyote vipya na muda hautoshi so wajanja kipindi hiki wanaanza mdogomdogo tution ya hiyo mambo kma unataka ufanye mambo A-level.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom