Natafuta Tecno h6 soon

Victor Junior

Member
Joined
May 26, 2012
Posts
64
Reaction score
8
mwenye sim ya tecno iliyo katika hali nzuri anicheck kwa 0655 477748 kuna 120k hapa cash
fast deal
n.b iwe katika hali nzri isiwe na tatzo lolote
 
Ninayo lakini kwa bei hiyo siuzi aiseeeeeeeeeeee
 
mkuu chukua p5 hapa,na chaji yake nakupa na earphone.nipm tufanye biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…