Natafuta Tani 50 za ulezi

Natafuta Tani 50 za ulezi

venahmo

New Member
Joined
Dec 4, 2018
Posts
4
Reaction score
0
Habari zenu wana jamii.., Natafuta tani 50 za ulevi, (Arusha au Dodoma)

Nahitaji wauzaji au wakulima serious .. tuwasiliane kwa inbox


 

Attachments

  • Finger_Millet.jpg
    Finger_Millet.jpg
    53.7 KB · Views: 43
Na Mashuka ya Kimasai vipi au hilo dili limesha buma? Maana nyinyi watu ni hatari
 
Soma posti kwa makini, nimeulizia ulezi
 
Ndugu, sina masaa ya kujibizana nawe, pili sielewi shida yako, soma post vizuri , kama huna ulezi kimya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom