Umetafuta mitaa gani ukakosa? Umeandika kwa kifupi sana kiasi kwamba haueleweki kama umenshindwa na sasa umekuja hapa.
Nenda mtaa wa December duka la Senya kaulize, ukikosa hapo nenda maduka yanayotazama na barabara mpya inayojengwa hivi sasa
au muulize Senya atakusaidia.
Ukishindwa fanya jitihada ya kuagiza Dar kupitia kwa hao washikaji niliokueleza.
Ukishindwa kabisa nipe kazi hii niisake Mbeya nikapata nikutumie.
Ndugu wana mtandao
Naombeni mniwie radhi kwakitendo cha kumjibu aliyeulizia spea kwenye jukwaa la siasa
Nilishindwa kuelewa kama si mahala pake kwa wakati hivyo mniwie radhi sana.