Natafuta supplier wa Tablets

Natafuta supplier wa Tablets

Joined
May 29, 2014
Posts
83
Reaction score
23
Ninahitaji kununua tablets 80 for an NGO(not for profit), natafuta mwenye tablets ambazo zina betri nzuri zaidi ya masaa 4.
Specification
Ram 512mb
Storage 8GB
screen size 7inch
Brand: any

Budget: Tsh.100000
 
kuna maduka kama Capricon technology na Dukani kwetu ukienda zoom utawakuta na wanawebsite zao au sio mbaya pia kama ukizunguka kkoo utapata
 
Ninahitaji kununua tablets 80 for an NGO(not for profit), natafuta mwenye tablets ambazo zina betri nzuri zaidi ya masaa 4.
Specification
Ram 512mb
Storage 8GB
screen size 7inch
Brand: any

Budget: Tsh.100000
Hiyo bajeti utapata Chinese generic tablets ambazo ikisumbua unatupa! Unataka kwa ajili ya matumizi ya watoto au watu wazima?
 
Ninahitaji kununua tablets 80 for an NGO(not for profit), natafuta mwenye tablets ambazo zina betri nzuri zaidi ya masaa 4.
Specification
Ram 512mb
Storage 8GB
screen size 7inch
Brand: any

Budget: Tsh.100000
Ungefika hata laki 250, basi ungepewa namna ya kuagiziwa hata samsung kiwandani 7"
 
Back
Top Bottom