Natafuta supplier wa mafuta ya nazi

Liston Cosmas

Member
Mar 4, 2015
12
11
Habari wadau wa JF. Natafuta suppliers wa mafuta halisi kabisa ya nazi (coconut oil). Ingekuwa vizuri kama unazalisha mwenyewe. Pia mafuta hayo lazima yawe kwenye quality ya juu kabisa na yasiwe yamechanganywa na chochote. Asante!
 
Mkuu bado unahitaji mafuta. Unanunua Lita kwa shilingi ngapi?

Unaweza kuwa na soko la avocado oil pia?

Asante.
 
Habari wadau wa JF. Natafuta suppliers wa mafuta halisi kabisa ya nazi (coconut oil). Ingekuwa vizuri kama unazalisha mwenyewe. Pia mafuta hayo lazima yawe kwenye quality ya juu kabisa na yasiwe yamechanganywa na chochote. Asante!
Karibu tukuhudumie. Namba zetu +255714206306
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…