Natafuta sugar dady wa kunilea

Basi hata huyo sugar daddy huwezi kumpata
teh u sound kama vile mtoto, kama vile innocent
sa huo ujasiri wa kusaka sugar daddy umeutoa wapi?

me mtoto tena?!..aah!!. haya bhana.wish ungenijua.
 
Mara wanaume wameshindwa mwanamke kakufikisha!! mara unatoa tigo!! Leo sugar dady!! Kesho sijui utakuja na drama gani?!
 
Your just west of space, hata kama tunaropoka ropoka humu but sio kila kitu kinaandikwa humu au sababu hapalipiwa hapa thats why mnaweka kilakitu angalia kunawadogo zako wako chuo they may think this is just a nomal way of life, grow up girl sio kila kitu unaandika tu cos you fill right to write it please
 
Oh kumbe umekuja na ID nyingine baada ya ile ya Cutie01 kupigwa pini.
What do you get out of this binti!!?
Mkuu kwani ile ID ya Cutie01 ilikua na majanga gani.....sound like ú know something
 
Last edited by a moderator:
Leo kazi ipo vijana mmechacharika mnataka kutunza sio?

KILA LA KHERI
 
kama kuna yeyote anahisi nimemkwaza humu naomba anisamehe!!.
 
nitafute 078 421 17 26
 
mdogo wangu ni afadhali utulie na umalize hayo masomo kwanza kuliko kujichanganya
halafu baadaye ukaja kujuta angalia usichanganye amapenzi na masomo jamani
kwanini unaudhalilisha utu wako kwa mambo ya ngono zembe?
Je huoni ni mchecheto tu wakuponza uangamie dhambini ni heri
leo ukatubu dhambi hiyo na kumpokea Yesu awe mwokozi wako
kulikko kuangamia jehanamu ya milele
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…