Natafuta studio, high quality ya kurekodi nyimbo za injili

Natafuta studio, high quality ya kurekodi nyimbo za injili

freddjj

Member
Joined
May 6, 2013
Posts
9
Reaction score
0
wadau kwa waelewa wa studio za kurekodi nyimbo za injili yenye viwango vya hali ya juu mnisaidie kuijua na bei zake ikiwezekana.
...shukrani kwa msaada na ushauri wenu...
 
wadau kwa waelewa wa studio za kurekodi nyimbo za injili yenye viwango vya hali ya juu mnisaidie kuijua na bei zake ikiwezekana.
...shukrani kwa msaada na ushauri wenu...
Ni kwaya au solo artist, hiyo pia ita determine studio unayotaka
 
naamini nyimbo zangu ni nzuri kama ntapata studio, na producer mwenye viwango vya ukweli, nimeona waimbaji wengi wanarekodi za mitaani na nyimbo zao zinaishia tu mtaani kwao, cjui tatizo nnini. nisingependa initokee ivyo, natamani kutoka.
 
Back
Top Bottom