Natafuta Sponsorship za masomo chuoni

Natafuta Sponsorship za masomo chuoni

Ma mee

Member
Joined
May 20, 2021
Posts
55
Reaction score
100
Wapendwa msaada wapi naweza kupata mtu au organisations ambazo zinasaidia kutoa fee sponsorship kwenye vyuo..
 
Ni wakike I’m 22 na nna division one form four na six
IPO moja ina sponsor kama unaweza nenda pale UDSM kama upo dar kaulizie utawala. Japo ni miaka mingi ila inaweza kuwepo
 
Wapendwa msaada wapi naweza kupata mtu au organisations ambazo zinasaidia kutoa fee sponsorship kwenye vyuo..
ingia helptohelp.se
wanalipia ada full cha msingi interview yao ufaulu + wanahitaji taarifa zako za muhimu.
ukishapass wanakulipia ada kama sjakosea mpka utakapomaliza masomo.
 
ingia helptohelp.se
wanalipia ada full cha msingi interview yao ufaulu + wanahitaji taarifa zako za muhimu.
ukishapass wanakulipia ada kama sjakosea mpka utakapomaliza masomo.

Asantee sana ntapanga check hapo
 
Back
Top Bottom