kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,098
Habari za jpil ndugu zangu..mm ni mdogo wenu niliyehitimu shahada ya kwanza ya elimu katika uongozi na lugha na nina ndoto za kusoma masters ya tafiti na sera za umma.
Naomba kama kuna taasisi au mtu binafsi mwenye mapenzi mema aweze kunifadhili nipate kusoma hiyo shahada ya uzamili/umahiri hata kwa makubaliano ya kumfanyia kazi.
Gharama ya kusoma masters hyo ni takriban sh million sita na mpaka kufikia mwezi wa kumi (muda wa kuanza kusoma hyo masters) nitakuwa na sh.millioni mbili kutokana na kibarua ninachofanya.
Kwa atakayeguswa kunidhamini hizo million nne nikasoma nipo tayari kuja kufanya nae kazi kwa miaka miwili na asinilipe hata mia inaweza kushangaza wengi ni jinsi gani nataka kusoma master haraka kiasi hiki lakini nina kitu nime-focus kufanya nikiwa na taaluma hii ambacho nitakifanya for my life time.
Mwenye kuguswa na hili ani-PM Kwani nafaham kuna viongozi wa dini, siasa, mashirika ya umma na yasiyo ya umma, wafanyabiashara na yeyote yule awaye.