dah,Orgasm lazima ihusike
kwahiyo hao waliokuumiza hawana uwezo wa kukufanya auKama kuowa hamtaki, mnataka tufanyaje sasa? Bora nizae mapenzi nihamishie kwa mwanangu
Mnachagua sana ndo shida... ona hata wa kuzaa naye umeweka hadi rangi jinsi mlivyo wachaguziKama kuowa hamtaki, mnataka tufanyaje sasa? Bora nizae mapenzi nihamishie kwa mwanangu
Pm meNimeshaumizwa sana kimapenzi kiasi cha kuamua kuachana kabisa na haya mambo ila nahitaji tu kuzaa Kwa sasa mana umri ushaanza kunitupa mkono.
Naomba mwanaume aliyetayari kunizalisha ajitokeze, awe mweupe na mrefu kiasi na awe tayari kuwa karibu nami katika kipindi chote cha kulea mimba ili niwe vizuri kisaikolojia na hivyo kutomdhuru mtoto tumboni (si lazima anihudumie kifedha ila tu awe karibu nami).
Baada ya mtoto kuzaliwa ni uamuzi wake kuwa karibu na mawanae au kumpotezea, nishajiandaa kisaikolojia kuwa single mother so sitampa mzigo wowote.
Uliye tayari kunisaidia njoo pm
best naimani utampata yule uliemkusudua pili nimefurahi sana post yako ndo post pekee hapa JF yenye maadhi ya kutafuta mwenza ambae ujahushisha degree ktk post yakoNimeshaumizwa sana kimapenzi kiasi cha kuamua kuachana kabisa na haya mambo ila nahitaji tu kuzaa Kwa sasa mana umri ushaanza kunitupa mkono.
Naomba mwanaume aliyetayari kunizalisha ajitokeze, awe mweupe na mrefu kiasi na awe tayari kuwa karibu nami katika kipindi chote cha kulea mimba ili niwe vizuri kisaikolojia na hivyo kutomdhuru mtoto tumboni (si lazima anihudumie kifedha ila tu awe karibu nami).
Baada ya mtoto kuzaliwa ni uamuzi wake kuwa karibu na mawanae au kumpotezea, nishajiandaa kisaikolojia kuwa single mother so sitampa mzigo wowote.
Uliye tayari kunisaidia njoo pm
best naimani utampata yule uliemkusudua pili nimefurahi sana post yako ndo post pekee hapa JF yenye maadhi ya kutafuta mwenza ambae ujahushisha degree ktk post yako
Nitumie namba zako..Vigezo ninavyo..Ukifanikiwa wa kwanza utataka na mwingine πππwangekuwepo nisingekuja hapa mkuu