Elias mwasibu
Member
- Dec 19, 2016
- 83
- 29
Natafuta speed meter za baskel mwenye kuwa nazo au ana mtu anahusika na haya mambo tuonane 0753358283 nipo mwanza naitaji kwa haraka sana msaada
kama hizi
bado kiwanda chake hakijafunguliwa mkuu
Jaribu kutembelea maduka makubwa ya baiskeli used. Hususani hizi Mountain Bikes
Hizi kuzipata bongo ni issue, jaribu kuagiza online kwa msaada zaidi WhatsApp on 0759110633Natafuta speed meter za baskel mwenye kuwa nazo au ana mtu anahusika na haya mambo tuonane 0753358283 nipo mwanza naitaji kwa haraka sana msaadaView attachment 766524 kama hizi