jacobae Member Oct 29, 2007 68 1 Jun 5, 2012 #1 Habari wana JF. Natafuta drivers za web cam ya sony VAIO laptop model VGN-CS21S/R. Laptop ina Windows 7. Nitashukuru kuipata..
Habari wana JF. Natafuta drivers za web cam ya sony VAIO laptop model VGN-CS21S/R. Laptop ina Windows 7. Nitashukuru kuipata..
ProBook JF-Expert Member Jan 13, 2012 558 257 Jun 5, 2012 #2 Dah aisee kaka kama ukipata naomba na mm coz drivers za hizi Sony zimekuwa kimeo full
jacobae Member Oct 29, 2007 68 1 Jun 5, 2012 Thread starter #3 Don David said: Dah aisee kaka kama ukipata naomba na mm coz drivers za hizi Sony zimekuwa kimeo full Click to expand... Kaka acha tu nimegoogle hadi kichwa na macho vyote vinauma bila bila. Nikaamua niombe msaada kwa wadau wengine hapa. Poa.
Don David said: Dah aisee kaka kama ukipata naomba na mm coz drivers za hizi Sony zimekuwa kimeo full Click to expand... Kaka acha tu nimegoogle hadi kichwa na macho vyote vinauma bila bila. Nikaamua niombe msaada kwa wadau wengine hapa. Poa.
MAMMAMIA JF-Expert Member Feb 26, 2008 3,811 1,604 Jun 5, 2012 #4 Don DavidJaribu kuangalia kwenye links hii, pengine utafanikiwa: Download drivers for laptop sony vaio vgn-cs21s/p Tatizo ni kuwa download ya kawaida inachukua masaa, lakini kwa Premium Users premium users ni 15 mins only. Kila la heri.
Don DavidJaribu kuangalia kwenye links hii, pengine utafanikiwa: Download drivers for laptop sony vaio vgn-cs21s/p Tatizo ni kuwa download ya kawaida inachukua masaa, lakini kwa Premium Users premium users ni 15 mins only. Kila la heri.
ProBook JF-Expert Member Jan 13, 2012 558 257 Jun 5, 2012 #5 MAMMAMIA said: Don DavidJaribu kuangalia kwenye links hii, pengine utafanikiwa: Download drivers for laptop sony vaio vgn-cs21s/p Tatizo ni kuwa download ya kawaida inachukua masaa, lakini kwa Premium Users premium users ni 15 mins only. Kila la heri. Click to expand... bt nyingi ukishazidownload ukitry kuzirun zinakuambia cyo win32 application..bt ngoja ntajarib alaf ntakupa feedback
MAMMAMIA said: Don DavidJaribu kuangalia kwenye links hii, pengine utafanikiwa: Download drivers for laptop sony vaio vgn-cs21s/p Tatizo ni kuwa download ya kawaida inachukua masaa, lakini kwa Premium Users premium users ni 15 mins only. Kila la heri. Click to expand... bt nyingi ukishazidownload ukitry kuzirun zinakuambia cyo win32 application..bt ngoja ntajarib alaf ntakupa feedback
Ndekirhepva JF-Expert Member May 18, 2012 371 44 Jun 6, 2012 #6 mh, kumbe tuko wengi, halafu hata spair za hizi miundombinu ni tabu kweli, jana nimezunguka kariakoo natafuta bettry hadi nimejichokea bila mafanikio, kweli hapo kwenye driver za webcome umenena mkuu, link jamani tunaziombeni
mh, kumbe tuko wengi, halafu hata spair za hizi miundombinu ni tabu kweli, jana nimezunguka kariakoo natafuta bettry hadi nimejichokea bila mafanikio, kweli hapo kwenye driver za webcome umenena mkuu, link jamani tunaziombeni