I ibontoko Member Joined Oct 31, 2011 Posts 62 Reaction score 14 Jan 16, 2018 #1 wadau naomba kufahamu maeneo mbali mbali hapa nchini bei ya mahindi ni shilingi ngapi? natafuta soko zuri maana nina mzigo wa stock, maeneo nilipo bei ipo chini sana ni tsh 48,000/= msaada wadau!!!
wadau naomba kufahamu maeneo mbali mbali hapa nchini bei ya mahindi ni shilingi ngapi? natafuta soko zuri maana nina mzigo wa stock, maeneo nilipo bei ipo chini sana ni tsh 48,000/= msaada wadau!!!
P Pumu Member Joined Oct 19, 2016 Posts 88 Reaction score 176 Jan 16, 2018 #2 Bora huko Huku kwetu 36000
I ibontoko Member Joined Oct 31, 2011 Posts 62 Reaction score 14 Jan 18, 2018 Thread starter #3 Pumu said: Bora huko Huku kwetu 36000 Click to expand... ni wapi huko mkuu?
M M2mishi JF-Expert Member Joined Mar 2, 2013 Posts 719 Reaction score 274 Jan 18, 2018 #4 ibontoko said: wadau naomba kufahamu maeneo mbali mbali hapa nchini bei ya mahindi ni shilingi ngapi? natafuta soko zuri maana nina mzigo wa stock, maeneo nilipo bei ipo chini sana ni tsh 48,000/= msaada wadau!!! Click to expand... Hiyo bei ipo juu sana nilipo Gunia ni 24000 nambie upo sehemu gani nilete tufanye biashara
ibontoko said: wadau naomba kufahamu maeneo mbali mbali hapa nchini bei ya mahindi ni shilingi ngapi? natafuta soko zuri maana nina mzigo wa stock, maeneo nilipo bei ipo chini sana ni tsh 48,000/= msaada wadau!!! Click to expand... Hiyo bei ipo juu sana nilipo Gunia ni 24000 nambie upo sehemu gani nilete tufanye biashara
900 Itapendeza zaidi JF-Expert Member Joined Nov 19, 2017 Posts 9,474 Reaction score 11,541 Jan 18, 2018 #5 ibontoko said: wadau naomba kufahamu maeneo mbali mbali hapa nchini bei ya mahindi ni shilingi ngapi? natafuta soko zuri maana nina mzigo wa stock, maeneo nilipo bei ipo chini sana ni tsh 48,000/= msaada wadau!!! Click to expand... shukuru kama kuna hiyo 48 sababu huku nilipo ni 35
ibontoko said: wadau naomba kufahamu maeneo mbali mbali hapa nchini bei ya mahindi ni shilingi ngapi? natafuta soko zuri maana nina mzigo wa stock, maeneo nilipo bei ipo chini sana ni tsh 48,000/= msaada wadau!!! Click to expand... shukuru kama kuna hiyo 48 sababu huku nilipo ni 35
NAREI JF-Expert Member Joined Mar 10, 2017 Posts 1,730 Reaction score 1,665 Jan 18, 2018 #6 M2mishi said: Hiyo bei ipo juu sana nilipo Gunia ni 24000 nambie upo sehemu gani nilete tufanye biashara Click to expand... Daah kweli inauma jamaa kweli kama kaona hiyo 48,000/= ndogo na alikataa lazima apate temporary depression.
M2mishi said: Hiyo bei ipo juu sana nilipo Gunia ni 24000 nambie upo sehemu gani nilete tufanye biashara Click to expand... Daah kweli inauma jamaa kweli kama kaona hiyo 48,000/= ndogo na alikataa lazima apate temporary depression.
M M2mishi JF-Expert Member Joined Mar 2, 2013 Posts 719 Reaction score 274 Jan 18, 2018 #7 NAREI said: Daah kweli inauma jamaa kweli kama kaona hiyo 48,000/= ndogo na alikataa lazima apate temporary depression. Click to expand... Huku Geita vijijini mahindi yanauzwa shilingi 4000 debe lakini hakuna wa kununua watu wanayaangalia tu
NAREI said: Daah kweli inauma jamaa kweli kama kaona hiyo 48,000/= ndogo na alikataa lazima apate temporary depression. Click to expand... Huku Geita vijijini mahindi yanauzwa shilingi 4000 debe lakini hakuna wa kununua watu wanayaangalia tu