concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Mbeya wilaya gani?
Karibu sana Jamvini kaka, Kwa kweli soko la kuridhisha kwa sasa ni ishu kubwa asa ukizingatia ni wengi tumevuna kwa wakati mmoja. Nachoweza kukushauri kama unaweza kupeleka hapo Jirani malawi kama vinaitajika labda utapata hela,wadau mwaka huu baada ya kusoma michango ya baadhi ya wadau niliamua kujiingiiza kwenye hiki kilimo hapa nakaribia kuvuna naomba ambae anaweza kujua soko zuri la vitunguu anijulishe nimelima mbeya makadilio ni kuvuna gunia kama 110
namba yangu 0762991257
km uko mbeya mjini mbona kuna wanunuzi wengi tu,kuna wakenya wapo mbeya wananua kwa 32,000 kw gunia.wapo igawa mbeya ila bei ndyo hyo km uko tayari kwa hyo bei nicheki 0752317974..nitakuunganisha nao
km uko mbeya mjini mbona kuna wanunuzi wengi tu,kuna wakenya wapo mbeya wananua kwa 32,000 kw gunia.wapo igawa mbeya ila bei ndyo hyo km uko tayari kwa hyo bei nicheki 0752317974..nitakuunganisha nao