Nahitaj vitunguu maji vilivyokauka vizuri kwa ajili ya kusafirisha. Kwa sasa nitachukua gunia/net 110 ila ikifika nitarudia ingine. So nahitaj wale wenye kulima kitunguu ya kutosha na sio wa gunia 10 kumi. Kitunguu iwe ya hiv karibu na iwe na rangi nyekundu nzuri. Sehemu ilipo iwe inapitika...
www.jamiiforums.com