mariah clement Member Joined Mar 28, 2017 Posts 14 Reaction score 17 Mar 31, 2017 #1 Habar wana JF mm ni kijana niliejikita kwenye kilimo cha vitunguu maji ndo mara yang ya kwanza kulima lkn nashukuru Mungu vimeenda vzur na vipo katika hatua ya mwsho je ntapata wap masoko mashamba yapo Mbeya-ilongo.asanteni
Habar wana JF mm ni kijana niliejikita kwenye kilimo cha vitunguu maji ndo mara yang ya kwanza kulima lkn nashukuru Mungu vimeenda vzur na vipo katika hatua ya mwsho je ntapata wap masoko mashamba yapo Mbeya-ilongo.asanteni
Jerhy JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 3,135 Reaction score 1,001 Apr 1, 2017 #2 Twanga picha mashamba na mazao yaweke hapo
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 95,875 Reaction score 136,781 Apr 2, 2017 #3 Unategemea kupata gunia ngapi za vitungu? Jaribu kuwatafuta wakomoro wao huwa wanunua kwa bei nzuri Ova
Unategemea kupata gunia ngapi za vitungu? Jaribu kuwatafuta wakomoro wao huwa wanunua kwa bei nzuri Ova