ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
Dia hongera kwanza kwa kulima! pia nakushauri anza kutembelea masoko ya buguruni kuna madalali wazur na wabaya kuwa makini!! kingine angalia size ya matikiti yako ndiyo yatakayokupa bei nzuri...kila lakheri!!
dar es salaam na nimetumia mbegu aina ya zebra f1 na machi ndo nitavunaUmelimia mkoa gani na umepanda mbegu aina gani? Lini?
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
ok niunganishe nao mkuuNataka kujua ili nikuunganishe na mtandao wa wadau wangu ambao ni wauzaji wa rejareja wa matikiti mitaani hapa Dar .
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
ningependa uniunganishe na mimi mkuu natagemea kuvuna mwezi wa 9, nimetumia mbegu ya sukari f1Nataka kujua ili nikuunganishe na mtandao wa wadau wangu ambao ni wauzaji wa rejareja wa matikiti mitaani hapa Dar .
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Umelima WAP boss na utaniuziaje kwa bei ya shambani kwa tikitiNicheck humu 0786813856 ndug utanisaidie nina mzigo wa matikt ta12 sept 2017 natarajia cna na cm ya whatsapp kpnd hk
Mimi navuna Wikiendi ijayo. Kama upo serious ni-pm namba yako ya whatsapp nikurushie picha ili uone ukubwa wa matikiti, ndipo tuelewane bei.
Experience yangu kwa kilimo cha tikiti: Nililima ekari moja na nusu, niligawa batch mbili katika mpando ilipishana kwa wiki. batch ya kwanza nilitoa 2.5 tones, good thing ziliwiva vizuri. Nilipeleka soko la sterio. Bad thing, aisee pale pana magumashi sana kwa madalali + matikiti yalikua mengi kiasi sokoni so niliyumba. Two weeks later, batch ya pili nilitoa 2 tonnes, Nilipeleka soko labuguruni kwa sasa lipo vetenari. Good thing, dalali hakua magumashi kivile though ujanja hauwezi kosekana mjini apa. Bad thing, tikiti hazikuwiva vizuri though zilikaa mda mwingi shambani compared to the previous batch + kwa sasa sokoni matikiti ni mengi mnoooo, wateja ni wakutafuta sana inabidi unampa kwa bei yake la sivyo yanakudodea.wadauu navuna tikiti wiki mbili zijazoo natafuta soko kwa mliouzaa nisaidien.
ok, Thanks kwa Ushauri. So huyo Dalali ulimpata palepale au unamfahamu unipe namba yake.Experience yangu kwa kilimo cha tikiti: Nililima ekari moja na nusu, niligawa batch mbili katika mpando ilipishana kwa wiki. batch ya kwanza nilitoa 2.5 tones, good thing ziliwiva vizuri. Nilipeleka soko la sterio. Bad thing, aisee pale pana magumashi sana kwa madalali + matikiti yalikua mengi kiasi sokoni so niliyumba. Two weeks later, batch ya pili nilitoa 2 tonnes, Nilipeleka soko labuguruni kwa sasa lipo vetenari. Good thing, dalali hakua magumashi kivile though ujanja hauwezi kosekana mjini apa. Bad thing, tikiti hazikuwiva vizuri though zilikaa mda mwingi shambani compared to the previous batch + kwa sasa sokoni matikiti ni mengi mnoooo, wateja ni wakutafuta sana inabidi unampa kwa bei yake la sivyo yanakudodea.
In general that was my first experience kwa tikiti, though I did not return my initial investment I wouldn't call it a loss but a lesson. Tatizo kubwa nililoliona ni Market unreliability....