zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,039
- 3,613
Okey nakupigia mkuuNi aina gani?
Ya Mchanga gani?
Unauzaje kwa Kilo?
Nitafute: Tushauriane tunaweza kufika mahala fulani pazuri: +255-714-591548
Wanapatikana wapi hao mkuuwateja nnao wafaham n wakilo 100 200
mbeyaWanapatikana wapi hao mkuu
Mtafute Anna Malecela ana kiwanda cha tangawizi same, ingia tovuti ya bunge utapata namba yake ya simu then utauza zote bila taabu. Then uje inbox unipe taarifa.Zipo tani 25 za Tangawizi makambako .
Natafuta Soko ambalo ntaziuza kwa pamoja.
Kwa wanunuzi au anayefahamu Soko zuri naomba anifahamishe
Sawa Mkuu.asante sana ntakupa mrejeshoMtafute Anna Malecela ana kiwanda cha tangawizi same, ingia tovuti ya bunge utapata namba yake ya simu then utauza zote bila taabu. Then uje inbox unipe taarifa.
[emoji16][emoji16] mkuu akupe taarifa au kifuta jashoMtafute Anna Malecela ana kiwanda cha tangawizi same, ingia tovuti ya bunge utapata namba yake ya simu then utauza zote bila taabu. Then uje inbox unipe taarifa.
Hahah nimeshampa mrejesho.sio kila anayekupa msaada anaitaji urudishe fadhila[emoji16][emoji16] mkuu akupe taarifa au kifuta jasho
Sawa mkuumbeya