Natafuta Soko la Sungura

Natafuta Soko la Sungura

Jonathan AP

Member
Joined
Jun 23, 2017
Posts
5
Reaction score
0
Wadau, naomba muongozo kwa yeyote anayelifahamu soko la sungura (I mean wanunuzi wa sungura) aniunganishe na wanunuzi wa uhakika.

Natanguliza Shukrani.

My WhatsApp +255767313277.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wkt unaanza kufuga uliambiwa wanunuzi hua ni wakina nani mkuu?

dodge
 
Wkt unaanza kufuga uliambiwa wanunuzi hua ni wakina nani mkuu?

dodge

alikutana na wauza sungura wadogo na chakula na dawa za sungura akaambiwa biashara ya sungura pesa njenje na wakiwa wakubwa market ipo y kutosha wawatafte wamsaidie kuuza..jamaa akaingia kingi saiv wajanja hawapokei simu zake tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
alikutana na wauza sungura wadogo na chakula na dawa za sungura akaambiwa biashara ya sungura pesa njenje na wakiwa wakubwa market ipo y kutosha wawatafte wamsaidie kuuza..jamaa akaingia kingi saiv wajanja hawapokei simu zake tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa utapeli huu, kuna mtu nusula auze ng'ombe wake wa maziwa anunue sungura, nilicheka sana.
 
Back
Top Bottom